Morrison arejea Yanga SC, atambulishwa Rasmi

KLABU ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC. Hiyo ni baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa baada ya kuachana na Simba SC na baadae kurejea nchini Tanzania na ujumbe maalum uliosomeka; “Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na